Thursday, 30 April 2026

Ninalo Neno Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Ninalo Neno Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Chorus (×2)

‘Ninalo neno juu yako, Umekataa shauri langu

Nitakutapika kinywani mwangu, Sababu umenikataa.’

Verse 1

Nikamtuma mwanangu wa pekee wala hukumsikia

Sikukata tamaa nikamtuma roho mtakatifu awe msaidizi’

Chorus (×2)

‘Ninalo neno juu yako, Umekataa shauri langu

Nitakutapika kinywani mwangu, Sababu umenikataa.’

Verse 2

‘Umekuwa kiumbe vuguvugu, Leo waishi kwangu

Kesho hauko nami watangatanga, Eh mwanadamu umenikataa’

Chorus (×2)

‘Ninalo neno juu yako, Umekataa shauri langu

Nitakutapika kinywani mwangu, Sababu umenikataa.’

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 33, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...