Friday, 15 May 2026

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya


1. Wewe ni Baba wa kinilinda

We ndiye shina anipendaye

Marafiki wataponiacha 

Na kukosa raha maishani

   Wewe ukawa rafiki yangu.


Chorus

Jenga boma lako (Moyoni) moyoni 

Moyo wangu Bwana (Tawala)tawala

Uwe rafiki yangu daima

Mawazo yangu utawale.


2. Baba nifanye mtumishi wako

Nikutukuze maishani mwangu

Sifa zangu bwana zikubali

Maovu yangu usihesabu

   Uyaongoze maisha yangu.


Chorus

Jenga boma lako (Moyoni) moyoni 

Moyo wangu Bwana (Tawala) tawala 

Uwe rafiki yangu daima

Mawazo yangu utawale.


Uwe rafiki yangu daima

Mawazo yangu utawale (Uwe)

Uwe rafiki yangu daima

Mawazo yangu utawale.


Try and retrieve the raw audio recording for this song.


Majaoni AY, Kilifi, Kenya.


Majaoni AY Kilifi Kenya, SDA Swahili Classics, Audio Retrieval, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...