Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Muumbaji mfalme vitu vyote vyako,
Moyo wangu ni mali yako
Ndani yangu weka neno la uzima,
Nisimame kwenye neno lako

Refrain
Nitangaze sifa zako Bwana
Kati ya mataifa
Watu wakuone fungua njia,
Kaa nami Bwana

2. Nipe ujasiri mwingi nisimame,
Ndani yangu fanya kituo
Nisimame kama mitume wa kale,
Unifiche kwenye mbawa zako.


Kurasini SDA Choir.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA