Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA
1. Bwana wa mabwana hatendi jambo
Bila kujulisha manabii wake
Hata siri ya siku za mwisho kawajulisha
Twayaona twasikia dalili hizi
Refrain
Na dhambi zako umezikalia
Zikawa kama hali ya maisha
Mahubiri yote umeyasikie
Ya kila aina badiliki
Kumbuka siku zetu zimeisha
Simba wa yuda yuaja mawinguni
2. Hebu we fanya matengenezo yako
Kuja kwa Bwana Yesu u karibu
Yawezekana usiku hata mchana
Akute u tayari kumpokea.
Cherubim Singers, Nairobi South SDA.
Comments
Post a Comment