For Revision
#ForRevision
Thursday, 12 June 2025
Tunaye Roho - Anatuombea Lyrics sung by Acacia Singers
Ewe Bwana Nenda Nasi Lyrics sung by Osingo Secondary
Nitasimulia Kisa Cha Yesu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Yote Yatapita Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Ninayaweza Mambo Yote Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kiasi Gani (Rudi Nyumbani) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Safari Ya Mbinguni Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kama Kwenye Ngazi (Mungu Akiwa Upande Wetu) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Asikutaabishe Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Bwana Umenichunguza Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kati Ya Waloachwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Nani Kati Yenu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kitu Gani Kitachokutenganisha (Chagua Hivi Leo) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kitu Gani Kitachokutenganisha (Chagua Hivi Leo) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kitu gani kitachokutenganisha,
Na upendo wa Yesu ukajitenga naye
Tangu umjue Mwokozi wako,
Amekuwa ngao kimbilio
Refrain
Chagua chagua hivi leo ni nani utakayemtumikia
Utasita kati ya njia mbili hatarini (wewe)
Chagua utakayemtumikia
Chagua chagua, chagua chagua,
Chagua chagua, utakayemtumikia
Lakini mimi, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wetu
Lakini mimi, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wetu
2. Ni wakati wa kufanya uamuzi,
Acha kutangatanga kati ya njia mbili
Msimamo wako una mashaka,
Utangatanga hata lini?
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 35, Bedi Score, Bedi Lyrics
Fungua Fahamu Zangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Wednesday, 11 June 2025
Umeshupalia Kibanzi - Toa Boriti Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Tulipofika (Kila Goti Litapigwa) - Wastahili Heshima Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Inueni Mioyo (Roho Mtakatifu) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Tazama Upendo (Mikoni Mwa Yesu) sung by Kurasini SDA Choir
Fungueni Malango Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Wanaisraeli (Una Nini Mkononi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Tunataka Kumuona Yesu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Gharama Ya Wito Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Karibu Tutaona Jiji (Ni shangwe) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Tulia Kwa Yesu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Nashangaa (Kina Cha Pendo) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Kurasini SDA Choir - Kisha Nikaona Mbingu Nchi Mpya Lyrics
Kurasini SDA Choir - Kisha Nikaona Mbingu Nchi Mpya Lyrics
1. Kisha nikaona Mbingu Nchi mpya
Ikishuka hapo juu angani
Jeshi la Malaika wanapiga vinumbi
Wakimleta Bwana Harusi
Refrain
Kisha nikaona jiji Jerusalemi
Umepambwa unameta mji ni mzuri
Na wenyeji wake wapendeza
Si mbali kaza mwendo ufike pale.
2. Sauti za tarumbeta zasikika
Ni ishara Yesu anarudi
Jeshi la Malaika likishuka angani
Wakimleta Bwana Harusi.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Ni Habari Njema Kwangu (Neema Iliyoshuka) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Ni Habari Njema Kwangu (Neema Iliyoshuka) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Ni habari njema kwangu, Ni habari njema kwangu,
Habari njema kwako, Sikiliza kwa makini
Neema ni bure ni bure
Ilitolewa kwa wote, Ilitolewa kwa wote
Tulipotanga mbali, Kama kondoo bila mchunga
Kwa neema yake akatuokoa.
Refrain
Neema iliyoshuka, Ilisafisha njia ya wokovu
Ilitolewa na Mungu Baba, Kwa wenye dhambi
Neema ya bure juu yangu, Neema ya bure juu yako
Ilitolewa kwa ajili yangu, Na ilitolewa kwa ajili yako
Pokea neema bure, Toka kwa Mungu Baba.
2. Yesu alilipa bei, Yesu alilipa bei
Neema bure kwangu, Niliyestahili kifo
Kabeba msalaba wangu
Anachohitaji kwangu, Anachohitaji kwangu
Nimpe moyo wangu, Apate nafasi ndani yangu
Kwa neema yake ataniokoa.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Tuesday, 10 June 2025
Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Umepimwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Umepimwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Umepimwa kwenye mizani Mizani ya Bwana
Na umeonekana ndugu umepungua
Mizani ya Bwana umeonekana
Ya kwamba umepungua, Haleluya!
Refrain
Umepimwa kwenye mizani Mizani ya Bwana
Umeonekana ndugu umepungua
Tafakari ndugu mwenendo wako, Haleluya!
2. Ajidhaniye amesimama ataanguka
Mizani ya Bwana itasimama daima
Ikisema kweli kwa matendo yako
Dhambi zitawekwa wazi, Haleluya!
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Nimesikia Wito Wako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Nimesikia Wito Wako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nimesikia wito wako, Nami sitaghairi kuja kwako
Nimetambua kosa langu, Bado una makusudi juu yangu
Nimetambua kosa langu, La kutanga mbali na uso wako
Refrain
Ulisema tukibisha tutafunguliwa, Na mimi leo ninabisha kwako
Nifungulie lango la rehema, Najuta nimepoteza wakati
Nimetanga mbali na we’, Sasa yatosha najuta nisamehe
Wewe ni Bwana mwingi wa rehema, Nifungulie lango la rehema
2. Niite nikaseme nawe, Nikueleze haja za moyoni
Ninatubu maovu yangu, Kilio changu nikusamehewa
Nitamke kwa lugha gani, Nimechafuka najuta nipokee.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Sogea Karibu Nami Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Sogea Karibu Nami Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Sogea karibu nami Bwana
Unikumbushe mapito yako
Mimi ni dhaifu nasahau
Unikumbushe uwe karibu
Refrain
Ninaanguka ninasimama
Kama mtoto mchanga nakosa nguvu
Sogea karibu unishike mkono
Nina haja nawe kila saa
2. Uwe kando yangu safarini
Msaada wangu ni katika Bwana
Mimi ni dhaifu nasahau
Unikumbushe uwe karibu.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Sielewi Ni Kwa Nini Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Sielewi Ni Kwa Nini Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Refrain
Sielewi, Sielewi ni kwa nini, Kila siku majaribu juu yangu
Leo nikisema ninatubu Kesho ninarudi palepale
Ni -? hili kesho nina lile, Nahitaji msaada toka juu
Nimechoka natamani nipumzike, Roho iko radhi mwili ni dhaifu
1. Nagundua ni Shetani Shetani hajalala usingizi
Kama simba awindaye Ndivyo anavyoniwinda
Ninafika mbali kuwaza Kwamba Yesu ameshaniacha – Oooh;
Kwani ninaposimama, Ndipo ninapoanguka (Sielewi!)
2. Napata faraja ninapotambua kwamba Yesu yuko nami
Hajalala usingizi Ndipo ninapata nguvu
Na katika hayo ndipo natambua kwamba Yesu anipenda – Oooh;
Nami ninapoanguka, Yesu ananiinua (Sielewi!)
Sielewi! Sielewi! Ni kwa nini?
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics
*-?; Shinda, Ni ishi na
*Revise the Rhythm
Nina Rafiki Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Nina Rafiki Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nina rafiki wa maisha, Asiyechoshwa nami
Amechukua shida zangu, Anipenda upeo
Refrain
Ananipenda (Ananipenda), Nampenda!
Ooh Ooh Yesu, Mkombozi wangu
Aliacha enzi yake, Akaja kanikomboa
Mkombozi wangu, Akashuka kwangu
Toka utumwani, Kaniweka huru
2. Kifo kaburi havivumi, Najua iko siku
Hata nikifa, atafufuka Yesu anaporudi.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Kurasini Acapella, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics
Stanza 2; Hata nikifa, *atafufuka; Hata nikifa atanifufua.
Bwana Ameahidi (Mikaeli) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Njooni Kwenye Kisima Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Fuata Nyayo Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Sitaionea Haya (Injili Kwanza) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Sitaionea Haya (Injili Kwanza) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Sitaionea haya injili ya Yesu, Kwa maana ni uweza wake Mungu
Uweza unaoleta Wokovu, Kwa yeye anayeamini
Kwa maana waliosikia wito ni wengi, Ni nani aliyetayari?
Wote walotayari waende kwa imani, Uweza uwe juu yao.
Refrain
Injili kwanza ajenda ya moyoni, Uweza unaoleta Wokovu
Kwanza wajue habari njema, Mambo mengine mwachie Mungu
Najua vikwazo vinavyokuja, Vitazidi kuniimarisha.
2. Utayasikia mambo mengi utazame mbele, Majeraha yake ni ya kitambo
Hakuna kitu kitamshinda Yesu, Ukiwa mikononi mwake
Shetani hawezi kumshinda Simba wa Yuda, Kumbuka pigo la jangwani
Wote walotayari waende kwa imani, Uweza uwe juu yao.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya
Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...
-
Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers , Tanzania Refrain Tanzania nakupenda nchi yangu nakupenda sana Bara pia visiwani sisi sot...
-
Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir 1. Muumbaji mfalme vitu vyote vyako, Moyo wangu ni mali yako Ndani yangu weka neno la uzi...
-
Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers Nairobi South SDA 1. Bwana wa mabwana hatendi jambo Bila kujulisha manabii wake Hata siri...