Wanaisraeli - Una Nini Mkononi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Wanaisraeli - Una Nini Mkononi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Chorus
Wanaisraeli wamekwama jangwani
Wameyasahau maajabu ya Mungu
'Musa una nini mkononi?
Piga mwamba watu wapate maji'
Jeshi la Farao linakuja
Nyosha fimbo yako juu ya bahari
Wakashuhudia maajabu ya Mungu
Wakapita kati ya bahari
Verse 1
Bahari ikagawanyika maajabu ya Mungu
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Wakapita kuvuka kati ya maji ya bahari
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Na jeshi ya Farao walipofika wakazama
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Wakashangilia wakamsifu Mungu
Maajabu ya Mungu
Chorus
Wanaisraeli wamekwama jangwani
Wameyasahau maajabu ya Mungu
'Musa una nini mkononi?
Piga mwamba watu wapate maji'
Jeshi la Farao linakuja
Nyosha fimbo yako juu ya bahari
Wakashuhudia maajabu ya Mungu
Wakapita kati ya bahari
Verse 2
Nasi leo kama wanaisraeli wasafiri
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Tumetangatanga jangwani tumekosa imani
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Amini! Amini! Amini! Bwana atatimiza
(Hum! Hum! Hum! Hum!...aaahaa)
Alivyoahidi, atakuwa nasi katika safari.
Chorus; Outro
Wanaisraeli wamekwama jangwani (wote)
Wameyasahau maajabu ya Mungu
'Musa una nini mkononi?
Piga mwamba watu wapate maji'
Jeshi la Farao linakuja
Nyosha fimbo yako juu ya bahari
Wakashuhudia maajabu ya Mungu
Wakapita kati ya bahari
Wanaisraeli wamekwama jangwani (wote)
Wameyasahau maajabu ya Mungu
'Musa una nini mkononi?
Piga mwamba watu wapate maji'
Jeshi la Farao linakuja
Nyosha fimbo yako juu ya bahari
Wakashuhudia maajabu ya Mungu
Wakapita kati ya bahari.
Kurasini SDA Choir.