Sitaionea Haya (Injili Kwanza) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Sitaionea Haya (Injili Kwanza) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Sitaionea haya injili ya Yesu, Kwa maana ni uweza wake Mungu

Uweza unaoleta wokovu, Kwa yeye anayeamini

Maana waliosikia wito ni wengi, Ni nani aliyetayari?

Wote walotayari waende kwa imani, Uweza uwe juu wao


Refrain

Injili kwanza ajenda ya moyoni, Uweza unaoleta wokovu

Kwanza wajue habari njema, Mambo mengine muachie Mungu

Najua vikwazo vinavyokuja, Vitazidi kuniimarisha


2. Utayasikia mambo mengi utazame mbele, Majeraha yake ni ya kitambo

Hakuna kitu kitamshinda Yesu, Ukiwa mikononi mwake

Shetani hawezi kumshinda simba wa Yuda, Kumbuka pigo la jangwani

Wote walotayari waende kwa imani, Uweza uwe juu yao.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA