Kurasini SDA Choir - Kisha Nikaona Mbingu Nchi Mpya Lyrics
Kurasini SDA Choir - Kisha Nikaona Mbingu Nchi Mpya Lyrics
1. Kisha nikaona mbingu nchi mpya
Ikishuka hapo juu angani
Jeshi la malaika wanapiga vinumbi
Wakimleta Bwana harusi
Refrain
Kisha nikaona jiji Jerusalemi
Umepambwa unameta mji ni mzuri
Na wenyeji wake wapendeza
Si mbali kaza mwendo ufike pale
2. Sauti za tarumbeta zasikika
Ni ishara Yesu anarudi
Jeshi la malaika likishuka angani
Wakimleta Bwana harusi.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics
Comments