Tuesday, 10 June 2025

Sogea Karibu Nami Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Sogea Karibu Nami Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Sogea karibu nami Bwana

Unikumbushe mapito yako

Mimi ni dhaifu nasahau

Unikumbushe uwe karibu


Refrain

Ninaanguka ninasimama

Kama mtoto mchanga nakosa nguvu

Sogea karibu unishike mkono

Nina haja nawe kila saa


2. Uwe kando yangu safarini

Msaada wangu ni katika Bwana

Mimi ni dhaifu nasahau

Unikumbushe uwe karibu.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...