Tuesday, 10 June 2025

Nimesikia Wito Wako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nimesikia Wito Wako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nimesikia wito wako, Nami sitaghairi kuja kwako

Nimetambua kosa langu, Bado una makusudi juu yangu

Nimetambua kosa langu, La kutanga mbali na uso wako


Refrain

Ulisema tukibisha tutafunguliwa, Na mimi leo ninabisha kwako

Nifungulie lango la rehema, Najuta nimepoteza wakati

Nimetanga mbali na we’, Sasa yatosha najuta nisamehe

Wewe ni Bwana mwingi wa rehema, Nifungulie lango la rehema


2. Niite nikaseme nawe, Nikueleze haja za moyoni

Ninatubu maovu yangu, Kilio changu nikusamehewa

Nitamke kwa lugha gani, Nimechafuka najuta nipokee.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...