Umepimwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Umepimwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Umepimwa kwenye mizani Mizani ya Bwana

Na umeonekana ndugu umepungua

Mizani ya Bwana umeonekana

Ya kwamba umepungua, Haleluya!


Refrain

Fanya matengenezo haraka

Umepimwa kwenye mizani Mizani ya Bwana

Umeonekana ndugu umepungua

Tafakari ndugu mwenendo wako, Haleluya!


2. Ajidhaniye amesimama ataanguka

Mizani ya Bwana itasimama daima

Ikisema kweli kwa matendo yako

Dhambi zitawekwa wazi, Haleluya!


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA