Ewe Bwana Nenda Nasi Lyrics sung by Osingo Secondary
Ewe Bwana Nenda Nasi Lyrics sung by Osingo Secondary
Refrain
Ewe Bwana nenda nasi *2 Ooh
Tupe nguvu za kushinda majaribu za dunia
Japo ni magumu kwetu japo ni makali
Mungu wetu nenda nasi tuweze kuyashinda
1. Watoto wake Ayubu kufariki nayo
Maradhi kajawa mwili mwake
Mali kuhisha Ayubu hakukata tamaa
Kuamini Mungu mali kurudishwa mara mbili
2. Umweleze Yesu shida zako
Kimbilio yetu maishani mwako
Atatuongoza hadi tufike kwetu mbinguni
Atatuongoza hadi tufike kwetu mbinguni.
Songs from Home
As sung by Osingo Secondary.