Wednesday, 11 June 2025

Tazama Upendo (Mikoni Mwa Yesu) sung by Kurasini SDA Choir

Tazama Upendo (Mikoni Mwa Yesu) sung by Kurasini SDA Choir

1. Tazama upendo wa Mwokozi Yesu
Alivyotupenda hapo mwanzoni
Ahitaji wote watangao mbali
Wamrudie Mungu waokolewe
Atafuta waliokata tamaa
Waliochoshwa na dhambi Yesu anawaita
Waliolemewa na mizigo moyoni
Watakuwa huru atawapumzisha

Refrain
Hata sasa amini (wote) uwe huru
Tazama utazame Kalwari
Wanaomtumaini watabarikiwa
Ufalme u tayari kwa ajili yao

2. Mungu wa mbinguni awapenda wote
Ni mchunga mwema wakati wote
Ujapopita bondeni mwa mauti
Atakulinda ubaki salama
Miguuni pa Yesu kuna amani
Mbele yangu kuna ulinzi ulio imara
Awaita wote waje waokolewe
Watapata raha atawapumzisha

Outro
Wito wa Yesu kwa wote waliolemewa
Mikononi mwa Yesu watakuwa huru
Mikononi mwa Yesu, (Mikononi mwa Yesu)
Waliao watafutwa machozi, njoo kwa Yesu.

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...