Fungueni Malango Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Leo ni siku ya furaha tulioingoja
Ni siku kuu ya wateule toka kila pembe
Nisikie furaha
Marafiki waliotengana kufumba na kufumbua
Watakutana tena
Safari hii hakuna kifo wala kutengana
Nisikie furaha
Refrain
Furaha! Furaha! Furaha! Ni furaha
Siku yenye iko karibu
2. Shangwe tele na vigelegele
Vitasikika kutoka vinywa vya wateule
Itakuwa furaha
Yaliyopita yameshapita
Hakuna sababu kukumbuka yaliyopita
Twatazamia mambo mapya na maisha mapya
Itakuwa furaha.
Kurasini SDA Choir.
Comments