Bwana Umenichunguza Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Bwana umenichunguza kote kote
Na we’ umenijua hata kuketi kwangu
Na we’ wajua matendo yangu yote
Nikufiche nini Bwana wangu

Refrain
Hata nikijificha katika pango la giza (nene), bado ni kazi bure
Kwa mkono hodari utanitafuta huko, kila mahali uko
Njia zako za ajabu hazichunguziki, hazichunguziki
Mimi ni kiumbe wewe ni muumba
Hata nikilala chini ya bahari
Njia zangu zote waziijua
Ninajidanganya naja kwako Bwana

2. Tunajifunza somo hili kwa Yona
Alipotaka kwenda kujificha Tarshishi
Bila kujua akakutana nawe
Alipotoroka uso wako.

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 35, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Revise Rhythm & Flow


Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA