Kitu Gani Kitachokutenganisha (Chagua Hivi Leo) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Kitu Gani Kitachokutenganisha (Chagua Hivi Leo) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Kitu gani kitachokutenganisha,

Na upendo wa Yesu ukajitenga naye

Tangu umjue Mwokozi wako,

Amekuwa ngao kimbilio


Refrain

Chagua chagua hivi leo ni nani utakayemtumikia

Utasita kati ya njia mbili hatarini (wewe)

Chagua utakayemtumikia


Chagua chagua, chagua chagua,

Chagua chagua, utakayemtumikia


Lakini mimi, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wetu

Lakini mimi, mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wetu


2. Ni wakati wa kufanya uamuzi,

Acha kutangatanga kati ya njia mbili

Msimamo wako una mashaka,

Utangatanga hata lini?


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 35, Bedi Score, Bedi Lyrics

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA