Fungua Fahamu Zangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Fahamu zangu ni mali yako, Fungua fahamu zangu nione
Refrain
Fungua fahamu za moyo wangu, Nikuone Yesu ndani yangu
Nikumbushe nisiache agizo, Nisimame katika neno lako (neno lako)
2. Fungua fahamu zangu Bwana, Niitambue sauti yako
Niwe mtiifu (na) mnyenyekevu, Fungua fahamu zangu nione
Niwe mtiifu (na) mnyenyekevu, Fungua fahamu zangu nione.
Kurasini SDA Choir.
Comments