Kama Kwenye Ngazi (Mungu Akiwa Upande Wetu) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Kama Kwenye Ngazi (Mungu Akiwa Upande Wetu) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

1. Kama kwenye ngazi ya Yakobo,
Malaika walifurika
Wengi washuka, wengi wapanda
Wakimzunguka, (Zunguka!)
Wengi washuka, wengi wapanda
Wakimzunguka, (Zunguka!)

Pre-Chorus
Mungu akiwa upande wetu,
Ni nani wa kutuogofwa?
Hutuzunguka hutuinua
Mikononi mwake

Chorus
Ni kama mlima wa Zayuni
-(Kama mlima---wa Zayuni)
Hutuzunguka kote kote
-(Huzunguka---kote kote)
Najivunia jina lenye nguvu
-(Najivuna jina---lenye nguvu)
Nimetulia, tena nina nguvu
-(Natulia tena---nina nguvu)
Mungu akiwa upande wetu tumogope nani?
Mungu akiwa upande wetu tumogope nani?

2. Kama kwenye ngazi ya Yakobo,
Ngazi yangu hulindwa naye
Sina mwingine, Sina mwingine,
Yesu anitosha, (Atosha!)
Sina mwingine, Sina mwingine,
Yesu anitosha.

Kurasini SDA Choir.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA