Wednesday, 11 June 2025

Umeshupalia Kibanzi - Toa Boriti Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Umeshupalia Kibanzi - Toa Boriti Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

1. Umeshupalia kibanzi kwenye jicho la nduguyo
Fanya matengenezo msaidie
Sote tumepungukiwa na utukufu wake Mungu
Ebu fanya matengenezo

Refrain
Toa boriti kwenye jicho lako kwanza
Ukamsaidia nduguyo
Sote tu wasafiri Kwenda Kanaani
Sote twarejea kwa Mwokozi

2. Umekuwa hakimu wa kuhukumu dhambi za nduguyo
Fanya matengenezo msaidie
Ndugu yako akikosa njia muonye kwa upole
Ebu fanya matengenezo.

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Shupalia - To affirm with urgency, To Insist.
Definition Source; https://swahili-dictionary.com/swahili-english/shupalia_shupalia

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...