Karibu Tutaona Jiji (Ni shangwe) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Karibu tutaona jiji tulioahidiwa
Msifadhaike mioyoni mwenu Yesu alitamka
Jicho halijapata kuona mazuri ya mbinguni
Kaza mwendo tuingie pale (pale) katika jiji.

Refrain
Nuru yake yaongoza kuingia kwenye jiji
Itakuwa jubilii ni shangwe juu mbinguni
Ndugu kaza mwendo tuingie (pale) katika jiji

Ni kunyatanyata mwendo wa pole, mwendo wa maharusi
Wakaaji wa jiji lile wamejawa na upendo
Wenye chuki hawatakuwepo (pale) katika jiji.

Kurasini SDA Choir.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA