Thursday, 12 June 2025

Yote Yatapita Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Yote yatapita tuonayo,
Yote yatapita tuyapendayo
Kitakacho dumu ni uzima,
Uzima ule wa milele

Refrain
Ni kitu gani kitacho dumu kwako
Ulivyonavyo vyote ni ubatili
Vyote vyatoweka havidumu,
Tafuta uzima milele

2. Mali utajiri vyatoweka,
Maisha ya sasa yanatoweka
Yesu analeta maisha mapya,
Yote ya kale yanapita

Outro
Mambo yote yanapita yatoweka
Tarajia uzima wa milele
Nasema, kaza mwendo usichoke
Yesu aleta mambo mapya.

Kurasini SDA Choir.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...