Thursday, 12 June 2025

Ninayaweza Mambo Yote Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Ninayaweza mambo yote,
Kwa jina la Yesu
Nimejifunza kumtumaini siku zote

Refrain
Nayaweza yote kwa jina la Yesu,
Mbele yangu (ni)naona nuru
Anaongoza mapito yangu,
Ni jibu kwa mashaka yangu
Sitapungukiwa chochote,
Anajua shida zangu

2. Furaha amani ninatapata,
Kwa jina hili
Ni mtetezi wangu nikiitwa hukumuni.

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 35, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...