Kiasi Gani (Rudi Nyumbani) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Kiasi gani watanga mbali na Bwana
Na umerushwa rushwa huku na kule
Mahangaiko taabu za maisha
Rudi nyumbani, rudi kwa Bwana
Unahangaika bure, rudi nyumbani

Refrain
Rudi nyumbani, rudi kwa Bwana,
Sasa yatosha, rudi nyumbani
Kuna mambo mazuri yanayokungojea,
Kivulini mwa Yesu kuna faraja,
Nyumba ni nyumbani utakuwa hura
Kuna sauti inakuita,
Rudi nyumbani Bwana anakuita

Wasio na huruma wala hisani
Waliotayari kukuangamiza
Watakurarua wakuangamize
Rudi nyumbani, mwanangu rudi
Unahangaika bure, rudi nyumbani.

Kurasini SDA Choir.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Muumbaji Mfalme Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana wa mabwana Lyrics sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA