Thursday, 12 June 2025

Safari Ya Mbinguni Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Nitazame juu, Sing ladies;
Ninapaza sauti; ‘Yesu uniokea’

Refrain
Eeeeh; Katika mikono ya Bwana nimetia nanga,
Oooh; Katika shida nilimwita akanisikia
Mikononi mwa Bwana kivuli cha faraja,
‘Enyi nyote mliolemewa,’ Bwana, anawaita

Yesu aliniona
Akayafuta machozi yangu
Nina amani, Sing ladies;
Bila Yesu ni bure, Sasa nina amani.

Kurasini SDA Choir.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...