Tuesday, 10 June 2025

Fuata Nyayo Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Fuata nyayo za Mwokozi kule Gethsemani
Utakuta alama alipo omba
Na jasho likawa damu Yesu akiomba
Fuata nyayo za Mwokozi kule Gethsemani

Refrain
Nyayo za Mwokozi zaongoza uzimani
Matone ya damu yaliyomwagika
Yesu anaomba usipotee
Fuata nyayo zake Gethsemani

2. Fuata nyayo za Mwokozi mlimani Golgotha
Utakuta alama za misumari
Elekea kaburini utaona jiwe
Limekwisha ondolewa Yesu kafufuka.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Injili Kwanza Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...