Wednesday, 11 June 2025

Ni Habari Njema Kwangu (Neema Iliyoshuka) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Ni Habari Njema Kwangu (Neema Iliyoshuka) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Ni habari njema kwangu, Ni habari njema kwangu,

Habari njema kwako, Sikiliza kwa makini

Neema ni bure ni bure

Ilitolewa kwa wote, Ilitolewa kwa wote

Tulipotanga mbali, Kama kondoo bila mchunga

Kwa neema yake akatuokoa.


Refrain

Neema iliyoshuka, Ilisafisha njia ya wokovu

Ilitolewa na Mungu Baba, Kwa wenye dhambi

Neema ya bure juu yangu, Neema ya bure juu yako

Ilitolewa kwa ajili yangu, Na ilitolewa kwa ajili yako

Pokea neema bure, Toka kwa Mungu Baba.


2. Yesu alilipa bei, Yesu alilipa bei

Neema bure kwangu, Niliyestahili kifo

Kabeba msalaba wangu

Anachohitaji kwangu, Anachohitaji kwangu

Nimpe moyo wangu, Apate nafasi ndani yangu

Kwa neema yake ataniokoa.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Neema Iliyoshuka Album, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...