Kati Ya Waloachwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kati ya wal’oachwa humu
Kati ya wal’opewa msamaha
Na mimi nilikuwa mmoja wao
Na mimi, Nasema; na mimi
Nikapewa msamaha
Refrain
Nikajiuliza kwa nini mimi? (kwa ni---‘mi-mi’4)
Mimi, kwa nini mimi?
Neema za Mungu ziwe juu yangu
Ni upendo wa ajabu
2. Gereza likafunguliwa
Wafungwa tuka-achwa huru
Na wote tukatoka gerezani
Na wewe, Nasema; na mimi
Nikapata msamaha.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 35, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics
Waloachwa; Wal’oachwa; Walioachwa