Bwana Ameahidi (Mikaeli) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Akutane na shida zako akupe heri
Atatengeneza njia pasipo njia waja wapite
Ndiye Mungu wa yale yasiyowezekana
Refrain
Ataonyesha njia kwako katikati ya giza nene
Kati ya tanuru la moto liwakalo
Mikaeli atasimama upande wako utashinda
2. Ni Mungu anayetamka na ikawa amini leo
Fadhili na neema yake iwe juu yako
Akuinulie uso wake popote akurehemu
Ndiye Mungu wa yale yasiyowezekana.
Kurasini SDA Choir.
Theme: Confidence In Chaos/Trust.
Comments