Safari Ya Matumaini Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Refrain
Safari ya matumaini, Usiku umesogea
Safari ya matumaini, Mapambazuko karibu.
Verse
Usiku umeendelea, Tumepoteza matumaini
Kwa sababu mwili dhaifu, Tumelala usingizi
Amkeni wana nuru, Tembeeni katika nuru,
Nuru ya matumaini.
Refrain
Safari ya matumaini, Usiku umesogea
Safari ya matumaini, Mapambazuko karibu.
Verse
Kesheni kamwe msilale, Kuweni macho wakati wote
Mkiyachunguza maandiko, Msilale usingizi
Sauti za shangwe, Zitasikika angani,
Tumlaki Mwokozi wetu.
Refrain
Safari ya matumaini, Usiku umesogea
Safari ya matumaini, Mapambazuko karibu.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics