Friday, 24 April 2026

Nimetanga Lyrics Sung by LCMM

Nimetanga Lyrics Sung by LCMM


1. Nimetanga dhambini Bwana

Hujachoka kunitafuta Bwana wangu

Nimesikia sauti ikiniita

Njoo: Njoo kwangu


Refrain

Ninakiri Bwana Kwamba mimi mdhambi

Siku hata siku Nawaza yale mabaya

Ahsante Yesu Kwa sauti ya ukombozi

Naja; Naja kwako


2. Ukamtuma mwanao Yesu

Kanifia msalabani niokoke

Sasa nimewekwa huru nakusifu

Bwana; Bwana wangu


3. Sauti yake Bwana bado

Hajachoka kuwatafuta waja wake

Nakusihi uitikie wito huu

Uje; Uje kwake.


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 2, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...