Jiepushe Na Dhambi Lyrics Sung by LCMM
1. Jiepushe na dhambi Yesu anarudi
Mlango wa rehema karibu kufungwa
Ghadhabu ya Mungu iko karibu
Kuangukia wote watendao dhambi
Refrain
Ni jambo la kutisha kuangukia
Kwa mikono ya Mungu wa mbinguni
Tuachane na dhambi
Tuwe katika kundi la washindi Yesu akirudi
2. Neema ya Mungu ndugu kweli ni bure
Ni ya muda kitambo pokea mwenzangu
Ghadhabu ya Mungu iko karibu
Jiepushe na dhambi Yesu anarudi.
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 2, Bedi Score, Bedi Lyrics