Makaoni Mbinguni (Njia Iliyo Njema) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Makaoni Mbinguni,
Tutakaposujudu mbele zake Mungu
Tutaikumbuka, Njia iliyo njema,
Waliopitia zamani, Wazee wa imani (Imani).
2. Siku yenye mibaraka tele,
Ilibarikiwa na Mungu hapo mwanzo
Ilibarikiwa naye Mungu, Njia iliyo njema,
Waliopitia zamani, Wazee wa imani (Imani).
3. Siku ya saba, ilitakaswa
Ndio ishara, Kati ya Mungu na wamchao
Ilibarikiwa na Mungu hapo mwanzo.
4. Mbinguni
---(Mbinguni pa Mungu juu)
Tutaikumbuka
Ilibarikiwa hapo mwanzoni.
4b. Mbinguni
---(Mbinguni pa Mungu juu)
Tutaikumbuka
Ilibarikiwa hapo mwanzoni.
5. Siku yenye matumaini,
Kwa watu wake Mungu
Njia iliyo njema, Waliopitia zamani,
Waliomwamini, Walitetea imani hata kufa
Ilibarikiwa na Mungu hapo mwanzo.
6. Kwa watu wake Mungu
Njia iliyo njema, Waliopitia zamani,
Waliomwamini, Walitetea imani hata kufa
Ilibarikiwa na Mungu hapo mwanzo.
7. Tukifika Mbinguni, Mbele zake Mungu
Nyuso zenye furaha, Pamoja na Yesu.
Tukifika Mbinguni, Mbele zake Mungu
Nyuso zenye furaha, Pamoja na Yesu.
Njia iliyo njema,
Waliopitia zamani, Wazee wa Imani.
8. Tukifika Mbinguni, Mbele zake Mungu
Nyuso zenye furaha, Pamoja na Yesu.
Tukifika Mbinguni, Mbele zake Mungu
Nyuso zenye furaha, Pamoja na Yesu.
Njia iliyo njema,
Waliopitia zamani, Wazee wa Imani.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics