Tuesday, 2 June 2026

Nani Wa Kulinganishwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nani Wa Kulinganishwa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Prelude

Nani wa kulinganishwa na Yesu?

Ni wa kwanza


1.Muda mwingi nilikaa, Nikiwa gerezani

Nikamkosa mdhamini, Wakunifungulia.


Refrain

Sauti zilisikika, Nani wakunifungulia?

Ni Yesu mwenye huruma, Kaingia gharama.


2. Katika gereza langu, sikupata nafasi

Langoni alisimama wakuniangamiza.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...