Tuesday, 2 June 2026

Itakuwa Siku Ya Ajabu (Tuonane Ng'ambo Ile) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Itakuwa Siku Ya Ajabu (Tuonane Ng'ambo Ile) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Itakuwa siku ya ajabu,

Baada ya kusafiri sana

Pale ng'ambo ya mto Yordani,

Tutaonana kwa furaha.


Refrain

Ni furaha tele siku hiyo,

Jeshi la Mbingu likitulaki (Tulaki)

Kisa cha Wokovu twasimulia (Simulia),

Kwenye Bahari ya kioo (Kioo)


Yeye bado atatufuta machozi,

Hatutazikumbuka tena (Kumbuka)

Tukiwa ni washindi, Kutawala na Yesu

Tuonane ng'ambo ile ndugu (Tuonane).


2. Sasa siwezi sema hakika,

Ninajua siku i karibu

Ninao wito kwako kwa hakika,

Ujiunge tuonane mbinguni.


NOTES

If We Never Meet Again/I Will Meet You On That Beautiful Shore is a gospel made popular by Elvis Presley here sung by Kurasini SDA Choir, a Swahili rendition, "Itakuwa Siku Ya Ajabu (Tuonane Ng'ambo Ile)"


Writer & Composer: Albert E. Brumley

Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Swahili Hymns, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...