Jehova, Jehova Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Refrain
Jehova, Jehova, (-aah)
Jehova, Jehova, (-ah)
Jehova, Sikia kilio cha waja wako
Dunia huzuni
Dunia kilio
Iko wapi, amani?
Ndio maana twaja kwako!
Bridge (Hums)
Uh-uh-uh Uh-uh=uh
Uh-uh-uh Uh-uh=uh
Uh-uh Uh-uh, Uh-uh=uh?
Uh-uh Uh-uh Uh-uh Uh-uh.
Verse 1
Maisha ni bure; Maisha
Maisha ni bure
Yamejaa huzuni, taabu, maombolezo
Refrain
Jehova, Jehova, (-aah)
Jehova, Jehova, (-ah)
Jehova, Sikia kilio cha waja wako
Dunia huzuni
Dunia kilio
Iko wapi, amani?
Ndio maana twaja kwako!
Verse 2
Dunia ni kilio; Oh kilio
Hapafai tena
Watu hawaelewani
Majumbani kilio,
Wamechoka maisha,
Wamekosa jibu,
Tunayo habari njema,
Itokaayo kwa Yesu.
Refrain
Jehova, Jehova, (-aah)
Jehova, Jehova, (-ah)
Jehova, Sikia kilio cha waja wako
Dunia huzuni, Dunia kilio
Iko wapi, amani?
Ndio maana twaja kwako!
Bridge (Hums)
Uh-uh-uh Uh-uh=uh
Uh-uh-uh Uh-uh=uh
Uh-uh Uh-uh, Uh-uh=uh?
Uh-uh Uh-uh Uh-uh Uh-uh.
Outro
Ndio maana twaja kwako!
Ndio maana twaja kwako!
Ndio maana twaja kwako!
NOTES
(Humming of the bridges can be done in the same phasing as the melody of Line 1, 2 & 3 of Refrain, or Line 4, 5 & 6 of the Refrain.
Refrain
Jehova, Jehova, (-aah)
Jehova, Jehova, (-ah)
Jehova, Sikia kilio cha waja wako
OR
Dunia huzuni, Dunia kilio
Iko wapi, amani?
Ndio maana twaja kwako!
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics