Tuesday, 2 June 2026

Kwa Imani Eliya Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Kwa Imani Eliya Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Kwa imani Eliya, akapaa juu Mbinguni,

Na watu wakimuona,

Upepo wa kisulisuli ukamchukua,

Akapaa juu.


Refrain I

(Akapaa), Akapaa juu, Paa juu

Katika gari la moto

Tukiwa na imani (Imani),

Tutapaa juu.


2. Ijapo iwe ndogo, imani katika Bwana,

Yatosha kwenye vita,

Vyote vitawezekana katika imani,

Tutapaa juu.


Refrain II

(Tutapaa), Tutapaa juu, Kwa imani,

Tukiruka juu angani,

Tukiwa na imani (Imani),

Tutapaa juu.


Outro

Tutapaa juu.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...