Tuesday, 2 June 2026

Bwana Mungu Muumbaji (Sabato) Lyrics sung by Diana Gesare

Bwana Mungu Muumbaji (Sabato) Lyrics sung by Diana Gesare


1. Bwana Mungu Muumbaji, aliumba vya dunia

Na vya mbingu vyote yeye aliviumba

Kakamilisha kazi yake, baada ya siku sita

Akapumzika Sabato takatifu.


Refrain

Tumshukuru Bwana, Tumwinua Mungu wetu

Kwa uumbaji wa ajabu, tena tukumbuke kwamba

Siku ya Sabato, ndio siku kuu ya ibada.


2. Katika siku hii, usitende kazi yoyote

Kwani ni siku kuu ya mapumziko

We’ pamoja na nyumba yako, hata na watumishi wako

Pia mali yako mkapumzike.


Diana Gesare.


Diana Gesare, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...