Tuesday, 2 June 2026

Usiniache Bwana Lyrics sung by Diana Gesare

Usiniache Bwana Lyrics sung by Diana Gesare


1. Usiniache Bwana mimi ninakuhitaji,

Kwenye safari yangu ya kwenda Mbinguni,

Iliyojawa na mabonde pamoja na milima, usiniache.


Refrain

Wewe ni taa yangu; --We ni taa yangu, We ni taa yangu--

Naomba nimulikie; --Baba nimulikie--

Wewe ni ngome yangu; -- Wewe ni ngome yangu--

Bwana nishike mkono; --Tembea nami Bwana--

Tembea nami Bwana; --Tembea nami Bwana—

Kamwe usiniache; --Tembea nami Bwana—

Tembea nami Bwana –Kamwe/Usiniache--


2. Kwenye safari hii, wengi wakataa tamaa

Wengi wanaiacha imani ya Bwana Yesu

Leo tunakuomba utushike mkono, usituache.


For Revision: Review the the Refrain. Add the vatiation

Diana Gesare.


Diana Gesare, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...