Tuesday, 2 June 2026

Pale kaburini (Yu Hai) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Pale kaburini (Yu Hai) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Pale kaburini, Yesu kalala

Neno litimiye, Kafufuka!


Refrain

Neno likatimia hayupo kaburini tena (Hayupo!)

Ameketi juu na malaika

Ameshinda mauti ni mfalme

Yu hai! Yu hai! Ameshinda mauti!


2. Askari wakesha, Kwenye kaburi

Wanakesha bure, Kaburini!


NZK NO. 246 Mle Kaburini, Yesu Mwokozi.


1. Mle kaburini, Yesu Mwokozi!

Alilazwa chini, Bwana wangu!


Refrain

Bwana! Amefufuka, Kifo kimeshindwa kabisa!

Gizani mle alitoka chini, Sasa atawala huko Mbinguni!

Yu hai! Yu hai! Bwana Yesu yu hai!


2. Aungoja huo, Yesu Mwokozi!

Mchana ujao, Bwana wangu!


3.Walinda kaburi, Yesu Mwokozi!

Bure ni muhuri, Bwana wangu!


4.Kifo kimeshindwa, Yesu mwokozi!

Pingu zimevunjwa, Bwana wangu!


NOTES

1 Wakorintho 15:55 "Kuko wapi Ewe mauti kushinda kwako? Uko wapi Ewe mauti uchungu wako?"


This version is done by Kurasini and could be picked from other Kiswahili Hymnal Books.


From: Nyimbo Za Kristo No. 246, Pale Kaburini

English Version: Songs For Worship (SFW) No. 741, Christ Arose

Writer: Robert Lowry

Composer: Emily D. Wilson (1898), TUNE Name: HEAVEN


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 28, Swahili Hymns, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...