Tuesday, 2 June 2026

Umemgusa Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Umemgusa Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Umemgusa Bwana maishani mwako

Umeketi naye mezani

Yaliyo magumu amekuonyesha

Umekuwa kiumbe kipya

Umekuwa kiumbe kipya.


Refrain

Umemgusa Bwana umebadilika

Maisha ya kale yamebadilika

Umemgusa Bwana, umeona nuru

Umekuwa kiumbe kipya

Umekuwa kiumbe kipya.


2. Wanaheri wale walomgusa Yesu

Wameponywa mioyo kwa damu

Mawimbi yakija hawatatikiswa

Wamejenga juu ya mwamba mwamba

Wamejenga juu ya mwamba mwamba.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...