Tuesday, 2 June 2026

Ninaye Rafiki Wa Thamani Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Ninaye Rafiki Wa Thamani Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Ninaye rafiki wa thamani, Anipendaye tena mlinzi mwema

Japo mwovu anitenge naye, Hunirejesha kwa upole mwingi

Huniwezesha kutafakari, Nafsi yangu itangapo mbali naye.


Refrain

Je nani wa kunitenganisha na Mwokozi wangu? (Kwa kweli)

Hunitunza vyema hunipa furaha moyoni.


2. Ninaye rafiki wa thamani, Mlinzi wangu bondeni mwa mauti

Adui ajapo mbele yangu, Hunilinda niwapo mashakani

Hunihuhisha huniongoza Nimtegemeapo ninafarijika.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...