Aliacha Utukufu Wake Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Aliacha utukufu wake, Kwa ajili yangu mdhambi
Akaitwa Imanueli, Mungu pamoja na wanadamu.
Refrain
Akashuka duniani, Akashuka kaburini
Simba wa Yuda ni jina lake, Mungu pamoja na wanadamu.
2. Ni msaada ulio karibu, Ni yote katika yote
Yeye kwetu ndiye kimbilio, Mungu pamoja na wanadamu.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics