Kama Nilivyotumwa Duniani Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Refrain
Kama nilivyotumwa duniani, Nami pia ninawatuma ninyi
Enendeni ulimwenguni mwote, Wahubirini waokoke
Ulimwenguni mtaona dhiki (Jipe moyo), Nipo nanyi siku zote
Nani ataweza kusimama,
Pasipo ‘tegemea Bwana Yesu? Jipeni moyo.
1. Ushindi na Yesu ni hakika, alisema mwenyewe
Niite wakati wa taabu, nami nitaitika
Yale magumu msiyoyaweza nitawafunulia.
2. Mimi nimeshinda ulimwengu, Nimepewa mamlaka
Nitawapa roho mtakatifu, -? Msaidizi
Mbinguni wanasifu ukombozi, U mikono ni mwake.
For Revision: Stanza 2, Line 2; Nitawapa roho mtakatifu, -? Msaidizi'; Kama msaidizi, Omba msaidizi
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 28, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics