Tuesday, 2 June 2026

Haya Tunayoyaona Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Haya Tunayoyaona Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Haya tunayoyaona, Yanayotupendeza

Yanayotuhangaisha, Yote yatapita, Yote yatapita.


Refrain

Tafuta uzima kwanza, Ya dunia yanapita

Heri maskini wa roho, Watamuona Bwana.


2. Ndio ahadi ya Bwana, Kwa wanaomwamini

Leo watafadhaika, Kesho ni furaha, Kesho ni furaha.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 28, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...