Tuesday, 2 June 2026

Hukumu Ikapita (Usiku Ule Wa Huzuni) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Hukumu Ikapita (Usiku Ule Wa Huzuni) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Hukumu ikapita, Hukumu ya kifo

Watu washangilia, Sauti ya Mwokozi

Ikawashangaza, ‘Baba, uwasamehe.’


Refrain

Usiku ule wa huzuni, Nyota zikatiwa giza

Nao mwezi angani, Ukawa giza,

Yesu akabili kifo.


2. Pilato akasema, ‘Sioni hatia,

Juu ya mtu huyu,’ Kelele kasikika

‘Damu ya mtu huyu, Na iwe juu yetu.’


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 27, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...