Tuesday, 2 June 2026

Aniongozaye Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Aniongozaye Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Prelude

Aniongozaye, amenipa nguvu

Kuwa na Yesu, Ni Eli.


Refrain

Ninafurahishwa nawe wakati wa raha

Yakiwapo majaribu, hunitia nguvu

Neno lako lanitosha, Uniongoze

Pekee yangu siwezi, Nitaanguka.


1. Uliponitafuta sikutambua

Uliponong’oneza ningejua aje?

Bila wito wa Yesu ningepotea

Nafurahi ni huru namjua Mungu.


Refrain

Ninafurahishwa nawe wakati wa raha

Yakiwapo majaribu, hunitia nguvu

Neno lako lanitosha, Uniongoze

Pekee yangu siwezi, Nitaanguka.


2. Ninapo dhaminia kurudi kwako

Ninapotaabishwa na machafuko

Nakumbuka zilivyo huruma zako

Nafurahi ni huru kuwa na wewe.


Refrain

Ninafurahishwa nawe wakati wa raha

Yakiwapo majaribu, hunitia nguvu

Neno lako lanitosha, Uniongoze

Pekee yangu siwezi, Nitaanguka.


Outro

Aniongozaye, amenipa nguvu

Kuwa na Yesu, Ni Eli.


NOTES

Prelude & Outro: Line 2; Kuwa na Yesu, Ni Eli...


Eli, Eli, lama sabakthani? maana yake; Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...