Tuesday, 2 June 2026

Nipo Bwana Nitume Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nipo Bwana Nitume Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nipo Bwana nitume, Ni tayari Kwenda

Ila mbele yangu, Kuna vikwazo vingi


Refrain

Ukutaa huu, Bwana ubomoe,

Na kwa mapenzi yako, Niweze kupita

Ukuta huu, Bwana mpaka lini?

Utatuweka huru, Njia iwe wazi?


3. Sina uwezo Bwana, Juu ya ukuta huu

Umenizuia, Nisiweze kuvuka.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...