Hukutambua Uzito Wa Msalaba Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Hukutambua uzito wa Msalaba
Wajiuliza huwezi kujua (Kujua)
Jambo moja ninajua Mwokozi,
Uzito ukamlemea.
Refrain
“Sasa ninaona kiu,”
Yesu alia msalabani,
“Kikombe hiki, kiniepuke vipi?”
Yote ni kwa ajili yetu.
2. Hukutambua fedheha za Msalaba,
Wala kujua maumivu yake (Kujua)
Akachomwa misumari mkononi,
Mkuki ubavuni mwake.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Vol 26, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics