Tuesday, 2 June 2026

Kando Kando Ya Bahari Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Kando Kando Ya Bahari Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Kando kando ya bahari ya kioo, tutakaa siku zote

Hakuna huzuni ni furaha tele, Kutawala na Bwana.


Refrain

Shangwe tele kando kando ya Bahari,

Kwenye bustani nzuri ya Mungu

Ni furaha, furaha isiyo mwisho,

Kutawala Bwana.


2. Siku ikifika kuaga dunia, Furaha na shangwe tele

Mambo ya zamani, Tutayasahau kutawala na Bwana.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 27, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...