Tuesday, 2 June 2026

Kamwe Sitaacha Kumtumikia Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Kamwe Sitaacha Kumtumikia Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Kamwe sitaacha kumtumikia, Nimeona baraka zake

Amenifichia aibu yangu, Kati ya watesi wangu

Hata sasa sijapungukiwa, Mezani nabarikiwa

Ajua mavazi nivaayo, Viatu miguuni.


Refrain

Majumba, Umetupa,

Magari, Umetupa

Watoto, Umeshatupa,

Haleluya! Twakusifu,

Eeh Bwana, Tubariki.


2. Dunia na vyote viijaavyo, Vyote ni mali yako Bwana

Umekubali viwe milki yetu, Upendo wa jinsi gani

Kikombe changu kinafurika, Watesi wanishangaa

Umenikumbatia mkononi, Rahani napumzika.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Vol 27, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare

Ndoa Ilibarikiwa Lyrics sung by Diana Gesare 1. Ndoa ilibarikiwa na Mungu , Ilianza pale Edeni Kwani Mungu aliona, si vyema Adamu , Awe pek...